Jijuze KCSE Kiswahili Ushairi

Jijuze KCSE Kiswahili Ushairi Revision Notes
KSh200.00
BUY NOW

Je, wataka kuelewa Ushairi kikamilifu? Basi Jijuze KCSE Kiswahili Ushairi ndicho kitabu unachokihitaji. Kitabu hiki kimeangazia masuala yote yanayohusiana na ushairi, ikiwemo: Uchambuzi, Istilahi za kishairi, sifa za ushairi, Aina za ushairi nk. Pata nakala yako ili uimarishe makali, ujuzi na matokeo yako kwenye mitihani ya Kiswahili.

 

Who are the Ushairi Notes Meant for?

These Notes are Meant for students and teachers preparing for KCSE exams.

What you will get in the Ushairi Notes (YALIYOMO)

Uchambuzi
Istilahi za Kishairi
Sifa za Ushairi
Umuhimu wa Mashairi
Aina za Mashairi

Bahari za Ushairi

Bahari zinazotokana na mgao wa vipande
Bahari kutokana na mpangilio wa vina
Bahari kutokana na kigezo cha uradidi
Bahari kutegemea hali ya kiishilio (kibwagizo na kimalizio)
Bahari nyinginezo
Bahari zinazotokana na madhumuni ya mwandishi

Uchambuzi wa Mashairi

Muundo/Umbo la Ushairi
Uhuru wa Mshairi/ Idhini ya mshairi
Maudhui
Dhamira
Mtindo wa Lugha/mbinu za lugha/tamathali za usemi
Lugha ya nathari/ Lugha tutumbi/ Lugha ya mjazo

Detail of the Ushairi Notes Document

Format: pdf
Size: 3.8 mb
Number of Pages: 28

 

Reviews

There are no reviews yet. Be the first person to review this product.