Machozi Katika Kiriba
Amina alikuwa kigoli aliyelelewa akaleleka. Hata hivyo, hali yake ilibadilika alipojiunga na chuo kikuu. Alijipata amefanya urafiki na Oduor, jambo lililosababisha machozi na kilio kisichokuwa na mwisho. Soma hadithi kwa undani ujue mambo yalivyoenda.
There are no reviews yet. Be the first person to review this product.