Jijuze KCSE Kiswahili Fasihi Kwa walimu na wanafunzi
Kitabu hiki kimeangazia masuala yote ya fasihi andishi, fasihi simulizi na ushairi lakini kwa bei nafuu zaidi. Hakuna jambo liloachwa kutoka kidato 1-4 na zaidi. Kitawafaa wote, walimu na wanafunzi.
There are no reviews yet. Be the first person to review this product.