Mwongozo wa Chozi La Heri by Assumpta K Matei (Summary pdf guide)

Mwongozo wa Chozi La Heri by Assumpta K Matei and Summary pdf guide of secondary school setbook
KSh415.00
BUY NOW

Summary pdf guide of (mwongozo wa) Chozi La Heri by Assumpta K Matei. A Kiswahili setbook used by secondary school students in Kenya and examined by KNEC in the KCSE exams.

About the Author of Chozi La Heri, Assumpta K.Matei

Assumpta K.Matei ni mwandishi wa kike. Ni mtafiti na mwalimu mwenye tajriba pana katika ufundishaji wa lugha na fasihi ya Kiswahili katika shule za upili na vyuo vikuu.Kati ya taasisi alizowahi kufundisha ni Kenya High School na CUEA.

Juu ya Mwongozo wa Chozi La Heri

Mwongozo huu unanuiwa kumwonqoza mwanafunzi ili kuilewa vyema pamoja no kuelewa uliopo kwenye Riwaya. Hata hivyo ni muhimu mwanafuzi aisome Riwaya kwanza kabla ya kuutumia mwongozo huu.

Pia ni vizuri mwanafunzi kuisoma na kuielewa Riwaya hata kama ni mara tatu, kabla ya kuujjbu mtihani wake mwishowa Sekondari(KCSE).

Mwongozo huu ni maoni ya waandishi kulingana na jinsiwalivyoifikiRiwayahii,wenyewe.Mwanafunzi
anahimizwa kuzua maoni ziada kuhusu masuala waliyozungumziawaandishi.

What you will learn in the Chozi La Heri setbook guide

Ufaafu wa anwani
muhtasari wa sura
dhamira ya mwandishi
maudhui
sifa za wahusika
fani na Maswali ya marudio
e.t.c

Order Details

Format: pdf
Number of pages: 85
Size: 1mb

Reviews

There are no reviews yet. Be the first person to review this product.