Mwongozo wa Chozi la heri (Riwaya )

KSh180.00 KSh140.00
BUY NOW

Riwaya hii imeandikwa na Assumpta K. Mutai ambaye ni mwalimu namkufunzi wa lugha ya kiswahili katika shule za sekondari na vyuo vikuu.

Sehemu hii imesheheni mwongozo wa tamthilia ya Chozi la heri. Uchambuzi huu una uchapisho au muhtasari wa maonyeshoyote, wahusika katika tamthilia na maudhui mbalimbali yanayojitokeza.

Katika mwongozo huu utaweza kujifunza zaidi kuhusu:

Maudhui.
Sifa za wahusika.
Fani na maswali.
Ufaafu wa anwani.

File Details

Number of Pages: 85
Format: pdf
Size: 1mb
type: Set book

Reviews

There are no reviews yet.